Friday, 25 October 2019

Maisha

Pana mtu mmoja alidharaulika sana na jamii yake nakuonwa Hana thamani kabisa hasa na waliomzunguka. Hawakuelewa kwamba Kila mwanadamu ameumbwa na kusudi lake. Alisali sana na kuendelea kufanya mambo yake kimya kimya. Hats siku moja hakuwahi kukasirika nasura yake muda wote ilijaa tabasamu na kuzidi kuuwa penda watu jamii yake. Baada ya muda mrefu mungu alisikia kilio chake na kumfungulia milango ya matanikio. Na hivi Sasa ameanza lengo lake alilopangiwa na mungu na anahidi kuwapenda kuwajali na kuwasaidia woye. Fundisho wanadamu wote ni Kama rangi Kila moja inaumuhimu wake na itakusaidia mahali ukamilishe mchoro wako. Usimdharau mtu yeyote maisha ni safari na sote ni wasafiri. Amen

No comments:

Post a Comment