Sunday, 27 October 2019

WHY ALWAYS ME???

Na rafiki mmoja wa ukubwani maarufu Kama "kichwa adimu a.k.a Messi" alipenda sana kujiuliza swali why always me??? Ni swali jepesi Sana ila pana zaidi kwa wanao fikiri vyema. Katika jamii zetu pana watu hawatotaka kabisa uendelee kimaisha, wanaweza kuwa marafiki zako, wafanyakazi wenzio au hata ma bosi zako mda mwingine. Watakukatisha tamaa na kukurudisha nyuma kwa Visa nguvu nyingi sana katika Safari yako. Lakini mtu huyu alinifundisha kusema neno Hilo why always me huku akisema tabasamu mbele zao natimiza wajibu wako siku zote ipo siku utasonga mbele na wao kubaki nyuma wakijiuliza why him?? Dunia ina mengi ila wanadamu wana mengi zaidi usihangaike kupambana nao kwani mti wenye matunda haukosi kupigwa mawe mengi. Fundisho penda adui zako zaidi kuliko marafiki na utafika mbali Sana. Nakukumbuka rafiki yangu'kichwa adimu" WHY ALWAYS ME

No comments:

Post a Comment